Ewe mpendwa msomaji wa makala mbalimbali kwenye blog hii amkamtanzania.blogspot.com. Lile shindano la blogs Tanzania ambako blog yetu imeshirikiswa upigaji kura unafikia tamati.

blog award 2

  Mwisho wa kupiga kura ni leo tarehe 15/09/2013 siku ya jumapili. Nakuomba sana kama bado hujaipigia blog hii kura kuchukua dakika moja kufanya hivyo. Kama tayari umeshapiga kura mshirikishe rafiki yako na umshawishi nae apige kura.

  Kumbuka kama blog hii ikishinda wewe utakuwa balozi mzuri wa kusambaza ujumbe mzuri unaopatikana kwenye blog hii kuwafikia watanzania wengi zaidi. Watanzania bado tuna kiu kubwa ya maarifa na kupitia mitandao kama hii tutaweza kusaidiana kwa kiasi kikubwa,

  Blog hii inashindanishwa katika vipengele vitatu ambavyo ni BEST INSPIRATIONAL BLOG, BEST BUSINESS BLOG, NA BEST CREATIVE WRITING BLOG . Unaweza kupiga kura kwenye vipengele hivyo kwa kubonyeza kwenye hayo maandishi na ukaichagua amkamtanzania.blogspot.com(ukitumia link hizo kwenye best business blog chagua blog ya kwanza kabisa)

  Pia unaweza kupiga kura yako kwenye link moja na kuchagua kwenye vipengele vyote. Kwenye link hiyo kila ilipo amka mtanzania ichague na kwenye vipengele vingine chagua bloga nyingine. Usiache kipengele chochote hakijajazwa. Bonyeza mandishi haya kupiga kura kwenye link moja.

  Asante sana kwa ushirikiano wako na natumaini utawaarifu rafiki zako wote ambao hawajapiga kura wafanye hivyo.

  Nakutakia kila la heri kwenye harakati zako za maisha na tuendelee kuelimishana na kushauriana.