Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha wasomaji wote kwamba sasa kuna kundi la whatsapp kwa wanachama wa KISIMA CHA MAARIFA ambao wana uanachama wa GOLD.

Katika kundi hili tunakutana na watu mbalimbali ambao tuna mtizamo sawa na kuweza kushirikishana uzoefu na jinsi tunavyokabiliana na changamoto mbalimbali.

Pia kupitia kundi hili wanachama wanapata ujumbe mfupi wa kujifunza kupitia maneno au picha na pia kutakuwa kunawekwa video fupi za mafunzo na hata audio za mafunzo.

Ni kundi ambalo litakufanya uweze kujifunza zaidi kupitia simu yako ya smartphone au tablet.

Kama wewe ni mwanachama wa GOLD kwenye KISIMA CHA MAARIFA na unatumia whatsapp nitumie mesej kwa WHATSAPP andika jina lako kama ulivyojiunga na kuniambia unataka kuingia kwenye kundi hili kisha nitakuweka.

Kumbuka hii ni kwa GOLD MEMBERS tu.

Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA jitahidi ujiunge mara moja ili upate nafasi hizi za kujifunza.

Na kama umeshajiunga ila uanachama wako sio GOLD ongeza uanachama wako ili ujifunze zaidi.

Kama unapenda kujiunga ila huwezi kulipa fedha yote kwa wakati mmoja tafadhali wasiliana nami kwa 0717396253 au email; amakirita@gmail.com na tutaweka utaratibu mzuri ambao utakuwezesha wewe kulipia kadiri ya uwezo wako.

Nakutakia kila la kheri kwenye safari ya mafanikio.

TUKO PAMOJA.

kitabu-kava-tangazo54