Mabadiliko yanaanza na yule anayetaka mabadiliko…
Kama unataka watu wakuheshimu anza wewe kuwaheshimu…
Kama unataka watu wakupende anza wewe kuwapenda…
Kama unataka watu wafanye unachotaka anza wewe kufanya kitu hiko.
Ni vigumu sana kumlazimisha mtu afanye kile unachomtaka afanye.
Ila ni rahisi sana mtu kuiga kile unachofanya.
Badala ya kupoteza nguvu nyingi kumwambia mtu kwa nini abadilike, kwa nini usoelekeze nguvu hizo katika kuanzisha mabadiliko yenyewe?
-
Pingback: UKURASA WA 267; Wakati Wa Mabadiliko Na Kinachochochea Mabadiliko Ya Kweli. | Kisima Cha Maarifa