“How soon ‘not now’ becomes ‘never’.” Martin Luther
Mapema sana ‘sio sasa’ inakuwa ‘sio kabisa’
Kama unaweka malengo na mipango yako yakini unasema hutafanya sasa, maana yake unasema hutafanya kabisa. Pale unapojishawishi kwamba utafanya kesho maana yake unaandaa mazingira ya kutokufanya kabisa. SOMA; Fanya Mambo Haya Matatu Na Usipokuwa Tajiri Ndani ya miaka 10, sahau kuhusu utajiri kwenye maisha yako. Kama kuna jambo lolote unataka kufanya anza kulifanya sasa, usisubiri baadae wala kesho, hazitafika. JUST DO IT, ndivyo tunavyokwenda 2015..