Hakuna ushindi unaoanza kabla ya akili yako kukubali kwamba wewe ni mshindi.
Kila kitu kinaanzia na mawazo yako mwenyewe.
Kama utakuwa na mawazo kwamba wewe ni mshindi, utashinda.
Kama utaamini wewe ni mtu wa kushindwa utaendelea kushindwa.
Wewe ni mshindi, amini hivyo na ndio kitakachotokea.
Kama Unataka Ushindi Anzia Hapa.
