“There is nothing in which real wisdom cannot be displayed.” – Leo Tolstoy
Hakuna chochote kinachoweza kuzuia hekima isionekane.
Hekima ya kweli inaonekana na inaweza kutumika kwenye kila hali.
Jijengee hekima ya kweli na itakuwezesha kuvuka kwenye hali mbalimbali.
Unazikumbuka njia tatu za kupata hekima?
Zitafakari kabla hujalala na jipange jinsi gani unazitumia ili kuwa na hekima zaidi.
Uwe na usiku mwema.
Kocha.