
Hautafanikiwa na kuwa na maisha bora kwa sababu unajua vitu vingi. Bali utafanikiwa kwa kuweka kwenye matendo yale unayojua, hata kwa kiwango kidogo tu.
Kujifunza kitu mara moja hakutoshi, unapaswa kurudia mara kwa mara mpaka kitu hicho kiwe sehemu yako, kiwe asili kwako.
Chagua misingi utakayoendesha nayo maisha yako, iishi kwa matendo na endelea kujifunza kila wakati.
Haina ugumu, lakini wengi wanafanya ionekane ni vigumu.
Ukurasa wa kusoma leo ni kuhusu mambo muhimu ya kujikumbusha kuhusu pesa, yote unayajua, lakini jikumbushe tena na ujiulize kama unayazingatia.
Soma hapa; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/01/14/2206
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma