
Unaweza kuhangaika na jambo, ukaweka kila aina ya juhudi lakini bado usipate matokeo unayotaka.
Hapo unapaswa kuuachia muda ufanye yake, kwa sababu muda ni tiba isiyoshindwa.
Baada ya muda mrefu, suluhisho litajitokeza lenyewe au jambo unalohangaika nalo litapotea au kukosa umuhimu.
Usijiumize au kukata tamaa pale juhudi unazoweka hazileti matokeo uliyotarajia, jipe muda, na kila kitu kitakwenda vizuri.
Ukurasa wa kusoma ni kuhusu kuwa kwenye jumuia sahihi, fungua; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/01/28/2220
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma