
Haijalishi unapitia hali gani, kuna kitu unachoweza kufanya.
Usikate tamaa na kukosa matumaini kwamba hakuna unachoweza kufanya.
Martin Luther King amewahi kusema kama huwezi kuruka kimbia, kama huwezi kukimbia tembea na kama huwezi kutembea tamaa, fanya chochote kuhakikisha unasonga mbele.
Hivyo ndivyo unapaswa kukabili kila linalokuja kwenye maisha yako, kwa kuangalia kipi unaweza kufanya na kisha kukifanya.
Ukijiambia huna cha kufanya kweli hutaona cha kufanya. Ukijiuliza ufanye nini utaona mengi ya kufanya.
Ukurasa wa leo ni hitaji la fedha lisikupe upofu, soma; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/03/09/2260
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma