Mafanikio makubwa siyo rahisi kwa wengi kwa sababu yanahitaji msimamo.

Na msimamo una gharama kubwa ambayo mtu anapaswa kuwa tayari kulipa.

Je wewe upo tayari kulipa gharama kiasi gani ili kusimamia unachoamini?

Maana dunia itatumia kila aina ya ushawishi na mateso kuhakikisha inakuangusha.

Lazima uwe umejitoa kweli kweli kama unataka kusimamia kilicho sahihi.

Ukurasa wa kusoma ni kuhusu watu wasik na madhaifu, fungua; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/03/10/2262

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma