Dunia huwa inakuweka kwenye kundi fulani ili iweze kukutumia inavyotaka yenyewe.

Ili uweze kufanikiwa lazima uondoke kwenye kundi ambalo dunia inakuweka na uwe wewe, ufanye kilicho tofauti.

Na hapo ndipo mgogoro mkubwa wa kimafanikio unapoanzia.

Dunia itapambana kukurudisha kwenye kundi ambalo imekuweka huku wewe ukitakiwa kupambana kusimama kwenye kile ulichochagua.

Dunia ikishinda maana yake hufanikiwi.

Ili ufanikiwe unapaswa kuishinda dunia, kitu ambacho siyo rahisi, lakini kinawezekana unapojitoa kwelikweli.

Ukurasa wa leo ni kuhusu ugumu wa kuyaishi maisha yako, fungua; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/03/17/2268

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma