Chochote tunachotaka kwenye maisha yetu, ni wengine wanacho.

Hivyo ni wajibu wetu kuhakikisha tubaweza kuwashawishi wengine kutupa tunachotaka.

Na njia ya uhakika ya kufanya hivyo ni kutoa huduma kwa wengine.

Chochote unachofanya, hakikisha kina manufaa kwa wengine, kinaongeza thamani kubwa kwao na kuyafanya maisha yao kuwa bora.

Hakikisha unayagusa maisha ya wengine na kuyaacha yakiwa bora kuliko ulivyoyakuta.

Ni kupitia utoaji huduma ndiyo unaweza kupata unachotaka.

Ukurasa wa kusoma ni mambo manne ya kuzingatia kwenye uuzaji; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/03/30/2281

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma