‎Rafiki yangu,
‎
‎Hebu anza kujiuliza hiki kitu kimoja tu.
‎
‎Unaamka asubuhi ukiwa tayari umechoka?
‎
‎Kichwa kimejaa mawazo kabla hata hujaianza siku?
‎Unakimbia tangu asubuhi mpaka jioni, lakini mwisho wa siku unajiuliza,
‎Leo nimefanya nini hasa?
‎
‎Hapo ndipo wengi wanapokwama.
‎Sio kwa sababu hawajitumi.
‎Sio kwa sababu hawana ndoto.
‎
‎Na sio kwa sababu hawana akili.
‎Tatizo ni moja.
‎Muda hauko chini ya udhibiti wao.
‎
‎Watu wengi wana ratiba.
‎Lakini hawana mpango.
‎Wana shughuli nyingi.
‎
‎Lakini hawana mwelekeo.
‎Matokeo yake?
‎Msongo wa mawazo unaongezeka.
‎
‎Hasira ndogo ndogo zinakuwa kawaida.
‎Usingizi hauleti pumziko.
‎Hata furaha inaonekana kama anasa.
‎
‎Unajikuta unaishi kwa kuzima moto.
‎Leo hili.
‎Kesho lile.
‎Kila kitu ni cha dharura.
‎
‎Hakuna kinachosogea mbele kwa makusudi.
‎Na hapa kuna ukweli mchungu kidogo…
‎
‎Tatizo si kazi nyingi.
‎Tatizo ni muda ambao haujapangiliwa.
‎Watu wengi wanajaribu kurekebisha maisha yao kwa kupangilia pesa.
‎Bajeti.
‎Akiba.
‎Mipango ya matumizi.
‎
‎Lakini hawagusi chanzo.
‎Muda.
‎Ukipangilia pesa bila kupangilia muda, bado unaumia.
‎
‎Kwa sababu muda ndio unaamua pesa itaingia lini.
‎Muda ndio unaamua kazi ifanyike lini.
‎
‎Muda ndio unaamua akili itapumzika lini.
‎Ukipangilia muda,
‎ghafla mambo yanaanza kutulia.
‎
‎Unajua ufanye nini asubuhi.
‎Unajua kipi ni muhimu na kipi ni kelele.
‎Unajua lini useme hapana.
‎
‎Na kwa mara ya kwanza, siku zinaanza kukutii.
‎Hapo ndipo msongo wa mawazo unaanza kupungua.
‎
‎Sio kwa miujiza.
‎Bali kwa mfumo.
‎Na hapa ndipo wengi hukosea.
‎
‎Wanatafuta maneno ya faraja.
‎Motivation ya dakika 3.
‎Video za amini utafanikiwa.
‎Lakini faraja haisuluhishi vurugu.
‎
‎Motivation haisimami bila mfumo.
‎Ndiyo maana Kitabu cha MUDA UPO si cha kukufariji.
‎
‎Hakiji kukudanganya kuwa kila kitu kitakuwa sawa.
‎
‎Hapana.
‎
‎MUDA UPO kinakupa mfumo.
‎Mfumo wa kuona muda wako ulipo.
‎Mfumo wa kuugawa muda wako bila kujiua.
‎
‎Mfumo wa kupanga siku zako zizae matokeo, sio uchovu tu.
‎Kinakufundisha jinsi ya:
‎
‎– Kupunguza msongo bila kupunguza malengo
‎– Kuacha kuhangaika na kuanza kuziongoza siku zako
‎– Kutenganisha mambo muhimu na mambo yanayokula akili
‎– Kuishi kwa mpango badala ya kuishi kwa presha.
‎
‎Utagundua kitu cha ajabu sana.
‎Siku zako hazijaongezeka.
‎Lakini muda unaonekana kutosha.
‎
‎Shinikizo linapungua.
‎Akili inapata pumziko.
‎
‎Na hapo maisha yanaanza kukutii.
‎Sio kwa sababu kila kitu ni rahisi.
‎Bali kwa sababu wewe ndiye unaongoza muda, sio muda kukuongoza.
‎
‎Swali ni hili rafiki yangu…
‎Utaendelea kuishi kwa presha isiyo ya lazima?
‎
‎Au utachagua kujipangilia mara moja, halafu uishi kwa utulivu?
‎
‎Kwa sababu ukweli ni huu:
‎Msongo mwingi unaobeba leo,
‎si lazima uwepo.
‎Unasababishwa na mfumo mbovu wa matumizi ya muda.
‎
‎Na mfumo unaweza kurekebishwa.
‎
‎Soma Kitabu cha MUDA UPO.
‎Sio kesho.
‎Sio nikipata muda.
‎Ni sasa.
‎
‎Hiki hapa 👇
‎👉 https://wa.link/qb711b
‎
‎Karibu.
‎📞 0756694090.


‎Usiendelee kuishi kwa presha, wakati suluhisho liko wazi mbele yako..