Hakuna kitu unachofanya kisiache madhara kwenye maisha yako.

Kila hatua unayochukua, hata kama ni ndogo kiasi gani, inaacha alama kwenye maisha yako na unavyorudia kufanya inajenga au kubomoa tabia fulani ndani yako.

Pia kile unachofanya, kinageuka kuwa mazoea na baadaye unajikuta unafanya bila hata ya kufikiri.

Kuwa makini sana na kila unachofanya, ukijua kuna madhara yanabaki kwenye maisha yako.

Ukurasa wa kusoma ni mambo ya kufanya zaidi na kidogo; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/13/2295

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma