“It is not length of life, but depth of life.” – Ralph Waldo Emerson. Siyo urefu wa maisha bali ujazo wake ndiyo muhimu. Siyo miaka mingapi umeishi bali umefanya nini kwenye hiyo miaka ndiyo muhimu. Kuna watu wanaishi miaka 30 na kufanya makubwa mno, huku wengine wakiishi miaka 70 kama vile wanazurura tu hapa duniani. Usiwe mzururaji, weka ujazo kwenye miaka unayojaliwa. #MementoMori #TafakariKifo #KochaMakirita