
Ni rahisi kuwadanganya wengine kwa sababu hawajui kilicho ndani yako.
Lakini unapoanza kuwadanganya wengine, inakuwa rahisi kujidanganya wewe mwenyewe pia.
Unaweza kuwa na sababu nzuri ya kuwapa wengine ili wasikusumbue, lakini kamwe usije ukaisaha sababu ya kweli ya wewe kufanya unachofanya.
Maana ukishaanza kujidanganya mwenyewe, unakuwa kwenye njia mbaya.
Ukurasa wa kusoma ni kuacha kundi moja na kujiungana kundi jingine; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/21/2303
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma