Kupata chochote kile unachotaka, kunahitaji ushujaa wa hali ya juu sana, maamuzi ya kwamba lazima utakipata na ung’ang’anizi mpaka ukipate.

Kama chochote kinaweza kukuzuia, hutapata unachotaka, lazima uwe ambaye huwezi kuzuiwa na chochote.

Ambaye umeamua utapata unachotaka au utakufa ukiwa unapambana kukipata, hakuba chaguo jingine.

Ukurasa wa kusoma ni mambo muhimu ya kujikumbusha; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/26/2308

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma