Kile ambacho wengine wanakupa kwenye maisha yako, ni kulingana na viwango ulivyojiwekea wewe mwenyewe.

Ukijiwekea viwango vya juu na kuvisimamia, watakupa kadiri ya viwango hivyo.

Hakuna anayekudharau au kukutukana kama huvumilii vitu hivyo.

Kupata kile unachotaka, jiwekee viwango vyako kisha kataa kabisa kupokea au kuvumilia chochote chini ya viwango hivyo.

Ukurasa wa kusoma ni kuhusu kupewa unachovumilia na siyo unachostahili; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/05/19/2331

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma