Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwenye sekta ya afya.
Afya ni moja ya mahitaji ya msingi kabisa ya watu.
Hivyo sekta ya afya ina fursa nyingi za mtu kuweza kuingiza kipato huku pia akiwasaidia wengine.
Hapa ni mawazo kumi ya kuingiza kipato kwenye sekta ya afya.
- Kuwa na taaluma ya sekta hiyo, kama daktari, mfamasia, nesi, maabara n.k na kisha kuajiriwa kwenye sekta hiyo.
-
Kuanzisha maabara binafsi inayotos vipimo mbalimbali.
-
Kufungua duka la dawa.
-
Kuuza vifaa vinavyotumika mahospitalini.
-
Kufungua hospitali binafsi.
-
Kuandika vitabu vya kitaaluma kwenye sekta ya afya.
-
Kuandika vitabu kwa umma kuhusu afya.
-
Kuwa na blogu unayoandika mambo ya afya na kuingiza kipato kwa njia mbalimbali.
-
Kuwa wakala wa wale wanaosafiri kwenda nchi mbalimbali kwa matibabu.
-
Kuwa na gari la kubeba wagonjwa wa dharura (emergency).
Kwa mawazo hayo na mengine, mtu anaweza kuchagua wapi anaweza kuingia kwenye sekta ya afya na kuingiza kipato.
Kwa mfano makampuni makubwa ya madawa ndiyo yanayoingiza faida kubwa sana duniani.
Huo ni mfano mmoja, lakini ipo mingi zaidi.
Kocha.
Asante sana kocha
LikeLike
Karibu Godius.
LikeLike