
Unachagua mwenyewe kuyaharibu maisha yako kwa namna unavyochagua kuyaishi.
Kila unachofanya kwenye eneo lolote la maisha yako, kinaathiri kila eneo la maisha yako.
Ukifanya kazi yako hovyo, maisha yako yanakuwa hovyo.
Ukiwa na mahusiano yasiyo mazuri, maisha yako yanaathirika pia.
Unapaswa kujiwekea viwango vya juu kabisa kwenye kila unachofanya na kisha kusimamia viwango hivyo.
Mafanikio ya kweli ni yale yanayogusa kila eneo la maisha yako.
Ukurasa wa kusoma ni fanya kwa ubora au usifanye kabisa; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/15/2358
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma