Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia ufundi magari.
Usafiri ni hitaji la msingi la watu na magari ndiyo njia rahisi ya wengi kusafiri.
Hilo linatoa fursa kwa watu kuweza kuingiza kipato kupitia ufundi wa magari.
Hapa kuna mawazo kumi ya kuingiza fedha kupitia ufundi wa magari.
- Kuwa fundi wa magari ambaye unatengeneza na kulipwa.
-
Kumiliki gereji ambayo inatengeneza magari.
-
Kuuza vifaa mbalimbali vya magari.
-
Kuwa na gereji inayotembea, kwa kuwafuata watu walipo na kuwatengenezea magari.
-
Kununua magari mabovu, kuyatengeneza na kuyauza.
-
Kununua magari mabovu na kutoa vifaa vizima na kuuza.
-
Kufundisha wengine ufundi wa magari.
-
Kushauri kuhusu utunzaji wa magari kupitia njia mbalimbali na watu wakalipa.
-
Kutengeneza wateja ambao watakuwa wanatengeneza magari kwako tu.
-
Kutumia eneo la kutengeneza magari kama sehemu ya kulaza magari, hapo eneo linahitaji kuwa kubwa.
Kocha.