Kwa sababu yanahitaji umakini mkubwa ambao wengi hawapo tayari kuuweka.

Kwa sababu yanahitaji mtu afuatilie kwa kina kila anachofanya kitu ambacho wengi hawakitaki.

Kwa sababu yanahitaji juhudi kubwa ambazo wengi hawapo tayari kuziweka.

Na kwa sababu hayataki mazoea, kitu ambacho wengi wanakipenda sana.

Huwezi kufanikiwa kwa kufanya vile unavyojisikia kufanya wewe, bali unahitaji kufanya kwa viwango vya hali ya juu.

Ni kawaida kwa miili yetu kutokutaka suluba mbalimbali, lazima uwe tayari kujisukuma zaidi ya unavyotaka na ulivyozoea.

Ukurasa wa kusoma ni nje na ndani; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/27/2370

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma