Muda wako ni adimu na wa thamani sana, unapoutumia kwa kitu kimoja, maana yake huwezi kuutumia kwa kitu kingine.

Lazima ujue kwa hakika wapi unawekeza muda wako na matokeo gani unakwenda kupata.

Moja ya uwekezaji mbovu wa muda wako ni kujiuliza mara kwa mara iwapo una kile unachotaka, jibu ni huna hivyo weka muda kwenye kukipata kuliko kujiuliza.

Ukurasa wa kusoma ni kama unajiuliza jibu ni hapana; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/13/2386

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma