
Unapojifunza kwa wengine waliofanikiwa, haimaanishi uwe kama wao ili ufanikiwe.
Njia ya uhakika ya kutokufanikiwa ni kujaribu kuwa kama wengine. Hitaji kuu la mafanikio ni wewe kuwa wewe, kujitambua, kujikubali, kujichagua na kujiamini.
Hakuna anayeweza kukushinda wewe kuwa wewe na hapo ndipo ilipo nguvu kubwa kwako ya ushindani na kufika kwenye mafanikio.
Jifunze uwezavyo kwa wengine, lakini usijaribu kuwa tofauti na ulivyo.
Ukurasa wa kusoma ni kwa nini ushauri mwingi wa mafanikio haufanyi kazi; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/15/2388
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma