
Hakuna changamoto unayopitia ambapo wewe mwenyewe huna mchango katika kuisababisha au kuichochea.
Kwa kila changamoto au magumu unayopitia, wewe una mchango. Hata kama unaona wengine ndiyo wanaohusika, kuna namna na wewe pia unahusika.
Na uhusika wako mkuu huwa ni kukosa umakini kwenye kile unachofanya.
Unapoweka umakini wako wote kwenye jambo, unapunguza sana changamoto mbalimbali.
Ukurasa wa kusoma ni unavyojitengenezea maumivu; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/19/2392
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma