
Mafanikio hayatokei kama ajali au bahati. Bali ni hatua ambazo mtu unapiga, kutoka sifuri, kwenda moja, kisha kumi, mia na kuendelea.
Wengi walio sifuri huwa wanataka watoke sifuri mpaka 100, kitu ambacho hakijawahi kutokea.
Unatoka sifuri mpaka moja, hapo unajifunza mengi mno. Kisha unatoka moja mpaka 10 ambapo yapo ya kujifunza pia. Kisha kumi mpaka mia na kuendelea.
Kila hatua inahitaji mapinduzi fulani ndani yako, kujifunza na kuweka juhudi za tofauti. Jua ni hatua ili uliyopo sasa na nini cha kufanya ili kwenda hatua ya juu.
Ukurasa wa kusoma ni hizo hatua muhimu; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/20/2393
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma