
Kanuni ya fizikia inasema nguvu haitengenezwi wala haipotei, bali inabadilishwa kutoka mfumo mmoja kwenda mwingine.
Unapokuwa na hisia kali, huwa zinachochea nguvu kubwa ndani yako, nguvu hiyo huwa haiishi yenyewe.
Nguvu hiyo hukimbilia kuleta uharibifu kama haitatumika vizuri. Hivyo panga kabisa mambo utakayofanya pale hisia zinapoibua nguvu ndani yako ili usiishie kuleta uharibufu.
Mfano unapokuwa na hasira, badala ya kuumiza watu au kuharibu vitu, fanya kazi nzito au mazoezi.
Ukurasa wa kusoma ni itumie nguvu isilete uharibifu; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/30/2403
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma