
Kwa juhudi zako pekee hutaweza kufanya makubwa.
Lakini kwa kutumia nyenzo mbalimbali, juhudi zako ndogo zinakuzwa na kuzalisha matokeo makubwa.
Tumia nyenzo kwenye kila eneo la maisha yako unalotaka kufanya makubwa.
Mfano ukifanya kazi mwenyewe kwa masaa 10, unakuwa na hayo tu kwa siku. Ukiwa na watu 5 wanaokufanyis kazi kwa masaa 10 kwa siku unakuwa na masaa 50 ya kazi. Kwa masaa hayo 50 utafanya makubwa kuliko masaa 10 pekee.
Ukurasa wa kusoma ni nyenzo za kujijengea; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/31/2404
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma