Safari ya mafanikio ni ngumu, lakini kujidanganya ni rahisi. Kwa kuwa wengi wanapenda urahisi, hivyo hukimbilia kujidanganya.

Kwenye safari yako ya mafanikio, ukweli ni kile unachotaka na uongo ni chochote unachojiambia ambacho ni tofauti na unachotaka.

Je wewe unachagua nini, kuwa upande wa ukweli kwa maana ya kupambania unachotaka? Au kuwa upande wa uongo kwa kujipa sababu za kujiridhisha?

Maisha ni yako na uchaguzi ni wako.

Ukurasa wa kusoma ni siyo kweli; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/18/2422

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma