
Kila mawazo mazuri unayoyapata, huwi umeyapata wewe tu, bali wengine pia wanakuwa wameyapata.
Unapochelewa kufanyia kazi mawazo mazuri unayoyapaga, unatoa mwanya kwa wengine kuyafanyia kazi na kunufaika nayo zaidi.
Usitunze mawazo mazuri kwa ajili ya baadaye, badala yake yafanyie kazi, maana unapochelewa ndiyo unazidi kuyakosa mawazo hayo mazuri.
Ukurasa wa kusoma ni hakuna mawazo yako peke yako; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/19/2423
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma