
Fanya vitu rahisi na utakuwa na maisha magumu. Fanya vitu sahihi na utakuwa na maisha rahisi.
Vitu rahisi kufanya siyo sahihi na vitu sahihi kufanya siyo rahisi. Kila unachofanya, jiulize kwanza unakifanya kwa sababu ni rahisi au sahihi?
Utajikamata mara nyingi ukifanya vilivyo rahisi wakati vilivyo sahihi vipo mbele yako vikikusubiri.
Ukurasa wa kusoma; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/28/2432
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma