Ni Upendo Tu!

Rafiki Yangu Mpendwa,

Vp Hali Yako?

Nakuhakikishia ukiisoma hii meseji fupi mpaka mwisho,

…utajipenda sana.

“Vifaranga hushuhudia upendo wa kweli kutoka kwa mama yao pale atakapokuwa anahangaika na kupigana na mwewe kuokoa maisha yao”

Mafanikio hasa makubwa ni safari ndefu na ngumu, yenye maumivu makali ya kutokwa machozi na damu.

Hii imekuwa moja ya sababu kuu za kwa nini mtu anaamua kuwa mtu wa kawaida.

Kwa nini nijitese kiasi hiki?

Si nitaishi tu hata kama ninakipato cha kawaida.

Haya ni maswali ambayo unaweza ukajiuliza na kujijibu na kujifariji kisha ukaishi.

Lakini pia maswali kama haya huja baada ya ile njia yako sahihi  ya kupita ili kufikia mafanikio makubwa kuonekana ngumu na ndefu hivyo kuamua kutoroka mwenyewe.

Mtu anapofikia hatua kama hii anakuwa amekosa KWA NINI KUBWA NDANI YAKE,

…lakini pia atakuwa amekosa kiungo muhimu sana cha kuishi kwa nini hiyo ambacho ni UPENDO.

Bila kuwa na upendo hutaona sababu ya kujitesa wakati unaweza kuwa wa kawaida na kuishi kawaida.

Rafiki Yangu,

Hata Hivyo Kuna rasilimali muhimu unapaswa kuwa nazo iii uweze kuendesha biashara yako vizuri.

1. Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kitakusaidia sana kujijengea nidhamu na tabia sahihi za kifedha..

2. Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA kitakusaidia kujenga mfumo sahihi wa kuendeshabiashara.

3. Kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA kitakuwezesha kuanzisha na kukuza biashara yako huku ukiendelea na kazi yako.

4. Kitabu cha CHUO CHA MAUZO, kitakusaidia kuongeza mauzo yako mara mbili zaidi ya ilivyosasa.

Utajisikiaje Kama Utaendesha Biashara Yako Kisasa Zaidi Kuliko Washindani Wako?

Kama Utajisikia Vizuri Kama Mimi Piga Simu Sasahivi Hapa 0752977170.
Kisha Utapata Utaratibu Kamili Wa Kupata Rasilimali Hizi Pamoja Na Zawadi Maalumu Ya KUKUZA BIASHARA YAKO BURE.

KUMBUKA; Zawadi Hii Watapata Watu Saba (7) Tu Wa Kwanza.

Kwahiyo Wahi Nafasi Yako Mapema.

Au Piga Namba Hii 0752977170.

Karibu Sana, 0752977170.

Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana AmiriRamadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|