Rafiki yangu, maneno yana nguvu kubwa sana kwenye maisha yako.

Maneno yanaweza kujenga au kubomoa. Maneno yanaweza kubadilisha maisha yako na ukapata kile unachokitaka.

Na ukitaka kulielewa hili vizuri angalia huu mfano hapa chini.

Tuchukulie mfano wa wafanyakazi wawili ambao wanafanya kazi ofisi moja na majukumu yanafanana.

Mmoja akajiwekea utaratibu wa kila siku asubuhi kujitamkia maneno chanya lakini huyu mwingine akawa anaianza siku yake kwa kulalamika.

Unafikiri siku ikiisha nani ambaye atakuwa na  uzalishaji mkubwa?

Jibu baki nalo.

Na hivi ndivyo ilivyo kwenye kujenga utajiri,

…watu wengi wamekuwa wakijitamkia na kuyafikiria maneno haya 7 bila ya kujua yana wazuia kujenga utajiri mkubwa.

Maneno haya ni * HAIWEZEKANI KUPATA UTAJIRI KWA NJIA HALALI* .

Rafiki wewe ni wa kipekee sana, na sitaki wala sipendi uingie kwenye huo mtego.

Kwasababu kuna *NJIA 12 HALALI KABISA ZA WEWE KUPATA UTAJIRI*.

Na uzuri zote umewekewa kwenye kitabu kimoja kinachoitwa * MTAALA.WA UTAJIRI*.

Kukipata Kwa Ofa bonyeza hapa *https://wa.link/v0smop*

Ujumbe Huu Umeandikwa na ,

Rafiki yako anayejali mafanikio yako,

Bwana Amiri Ramadhani,

| CopywriterOfSomaVitabuTanzania |

|SalesConsultant |