Ogopa sana neno bure,
Hakuna kitu cha bure kwenye maisha.
Kila kitu kina gharama,
Ambazo hakuna namna unaweza kuzikwepa.
Utazilipa tu, iwe ni sasa au baadaye.
Au utazilipa bila kujua, kwa kuingia gharama kubwa zaidi.
Kufanikiwa, jua gharama ya mafanikio na ilipe mapema na kamili.
Chochote utakachofanya kukwepa hizo gharama, utaishia kuziongeza zaidi.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita