Kanuni ya uhakika ya kujenga utajiri kwenye maisha yako ni rahisi na inayoeleweka; MATUMIZI YASIZIDI KIPATO CHAKO, WEKEZA MAENEO UNAYOYAELEWA NA EPUKA MADENI.
Kingine chochote tofauti na kanuni hiyo utaishia kupigwa vibaya.
Najua hutasikiliza, na utaishia kupigwa, kwa tamaa za kupata utajiri wa haraka na usiohitaji ufanye kazi.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
