Kama unafanya pale tu unapojisikia kufanya, utajikwamisha kufanya makubwa zaidi.

Jijengee nidhamu ya kufanya kwa msimamo bila kuacha, iwe unajisikia au hujisikii na utaweza kufanya makubwa sana.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita