Mafanikio makubwa ni matokeo ya kuchukua hatua ndogo ndogo kila siku kwa msimamo bila kuacha.
Pangilia yale utakayofanya kila siku, kisha tokomeza siku za sifuri.
Usikubali siku yoyote ile ipite hujafanya kile ulichopanga kufanya kila siku.
Ukiweza hilo unakuwa umejijengea nidhamu kali na itakayokupa mafanikio makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
