Hakuna kitu watu wanaweza kufanya kwako kama wewe mwenyewe hujawafundisha au kuwaruhusu kufanya.
Kama kuna ambayo wengine wanakufanyia na hupendezwi nayo, anza kuangalia ni kwa namna gani umewafundisha na kuwaruhusu kufanya hivyo.
Jiheshimu wewe mwenyewe na wengine watakuheshimu. Jidharau na wengine watakudharau. Ni hivyo tu.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
