Ushauri wa bure huwa una gharama pale unapoanza kuufanyia kazi.
Kwa sababu huwa ni ushauri usiokufaa wala kuweza kukufikisha unakotaka kufika.
Epuka sana ushauri wa bure ambao wengi wanakazana kukupa, kwa sababu hauna mchango wowote kwako kupata unachotaka.
Kama watu hawana aina ya maisha unayotaka kuwa nayo wewe, puuza chochote wanachokushauri.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
