Huwa wanatania kama kubakwa hakuepukiki, basi ni bora ukubali kuufurahia mchezo.
Kwenye maisha, mateso hayaepukiki, hivyo ni bora kuteseka kwa kufanya kwa uhakika yale yenye tija.
Kujiambia unasubiri au unajaribu ni kujikwamisha wewe mwenyewe kufanya makubwa ambayo tayari yapo ndani ya uwezo wako.
Yale yote unayopaswa kufanya, jitoe kuyafanya mazima na utaweza kuzalisha matokeo makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
