Usijifiche nyuma ya teknolojia na kuacha kuweka juhudi kubwa zinazohitajika ili ufanikiwe.
Kumbuka maendeleo ya teknolojia hayaondoi hitaji la juhudi kwenye mafanikio.
Endelea kuweka juhudi kubwa na utapata mafanikio makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
