Kinachokukwamisha siyo kile ulichokosa,
Bali kushindwa kutumia vizuri kile ulichonacho.
Kwa kila ulichokosa tayari una mbadala wake.
Tumia huo mbadala upige hatua kuliko kubaki hapo ulipo sasa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
