Kama kuna mambo muhimu unataka kufanya na huna muda wa kuyafanya, ongeza kasi kwenye hayo unayofanya sasa.
Unaongeza kasi kwa kufanya hayo unayofanya sasa kwa nusu ya muda ambao unayafanya sasa.
Mengi unayofanya sasa, unatumia muda mrefu kuliko inavyopaswa.
Unaweza kuyafanya vizuri tu kwa nusu ya muda unaofanya sasa.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
