Ushauri wa kupenda unachofanya ili ufanikiwe haimaanishi mapenzi ya kitu ndiyo yatakupa mafanikio.
Bali kwa kupenda unachofanya, utavuka magumu mengi bila kukata tamaa.
Na kama utafanya kitu kwa muda mrefu bila kuacha, lazima utafanikiwa.
Kilicho muhimu ni uwe tayari kufanya kwa muda mrefu bila kuacha na mafanikio yanakuwa yako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
