Ulizaliwa ukiwa unajua vitu viwili tu; kulia na kunyonya.
Huo ndiyo ujuzi ambao kila mtu alizaliwa nao.
Vitu vingine vyote unavyoona watu wanafanya, wamejifunza hapa hapa duniani.

Maana yake ni hata wewe unaweza kufanya yale wengine wanafanya na kuwa na wanayokuwa nayo.
Ni wewe tu uamue kujijengea ujuzi unaohitajika ili kupata mafanikio unayotaka.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita