Kama huna pesa nyingi, za kukutosha kula wewe, watoto, wajukuu na vitukuu bila kuimaliza, huruhusiwi kuisema pesa vibaya.

Maana chochote kibaya utakachosema kuhusu pesa yanakuwa ni makasiriko yako tu, ambayo hayatakusaidia kupata pesa kwa wingi.

Kuwa mnyenyekevu, weka kazi ya kutosha, pata pesa, ziheshimu na uzizalishe zaidi.
Ukifanya hayo tu hutakuwa na muda wa kuisema pesa vibaya.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita