Wengine wanakuchukuliaje wewe siyo biashara yako.
Watu watakuchukulia vile wanavyotaka wao wenyewe na huwezi kudhibiti hilo.

Kuliko kuishi maisha ya maigizo ili watu wakuchukulie kwa namna fulani, ni bora kuishi maisha halisi kwako ili walio sahihi wakukubali.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita