
Tabia na Mazoea…
Hii ni Kwa Wale TU Ambao Wanataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.
TABIA na Mazoea Vimekuwa Vikwazo Kwa Wengi Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.
Kuvuka Vikwazo Hivo Viwili (2), Unatakiwa Uweke Mfumo Ambao Utakuwajibisha Kuweka Akiba na Kuwekeza Moja Moja,
Kwa Kufungua Akaunti 3 Za Benki,
Akaunti Ya Kwanza inakuwa Ni Kwaajili Ya Akiba,
Akaunti Ya Pili Inakuwa Ni Kwaajili Ya Uwekezaji.
Akaunti Ya Tatu Inakuwa Ni Ya Malengo Maalum,
Sasa Baada Ya Hapo Nenda Kawaambie Benki Kila Tarehe Fulani ya Mwezi Husika Wakukate kiasi Fulani Kwenye Akaunti Yako kuu ya Kipato,
Iendee Kwenye Akaunti ya Akiba, Nyingine Uwekezaji na Nyingine Malengo Maalum.
Na Ukifanikiwa Kufanya Hivi Basi Utakuwa Umeweza Kuvuka Hivo Vikwazo Viwili Hapo Juu Vinavyowazuia Wengi Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.
Anyway Kama Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Uwekezaji.
Karibu Uungane na Wenzako Ni Hapa👇
https://wa.link/vpl0rj https://wa.link/vpl0rj
Asante.