Rafiki Yangu Mpendwa,

Kukosa mbinu sahihi kunaweza kusababisha hali ya msongo wa mawazo (stress) na kuathiri hali yako ya kifedha.

Njia nyingi zinazodai kudhibiti matumizi ni rahisi, mara nyingi hazina ushahidi wa kweli.

Kwa mfano Tarehe 27 October 2024 kwenye *SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA”, unapata mbinu zilizothibitishwa za kudhibiti matumizi yako na kupanga bajeti yako kwa ufanisi.

Pata nafasi yako leo kwa bonyeza hapo 👇Ni Hapa 👉https://wa.link/7xpijv na utaweza kutekeleza mikakati inayokuwezesha kudhibiti matumizi yako kwa mafanikio.

Zimebaki nafasi chache sana. Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 itafanyika DSM Mbezi Garden Hotel. Kwa Kiingilio Cha Tshs 64,999 Tu! Ukilipia Kabla Ya October 1 na Tshs 99,999 Tu! Kama Utailipa Baada Ya October 1, Utatoka na Mpango Kamili wa kudhibiti matumizi yako kwa mafanikio.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv