Rafiki Yangu Mpendwa,

Kila mwezi unapata kipato kidogo Ambacho kinaishia kugharamia Mahitaji yako ya kila siku.

Unapata changamoto kufikiria jinsi utakavyowekeza kwa ajili ya kesho yako bora zaidi.

Unafikiria inahitaji kufanya kazi kwa bidii sana ,ili kuongeza kipato chako, lakini hata hivyo, kipato hicho kinaisha haraka bila kubaki na fedha za kuweka akiba au kuwekeza.

Hakuna haja ya kuongeza muda wa kazi au kujinyima zaidi. Kile unachohitaji ni mbinu za kifedha ambazo zinaweza kuongeza kipato chako hata kama unachoingiza ni kidogo sana.

Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 utajifunza jinsi ya kutumia kipato kidogo kwa busara, Kuwekeza kidogo kidogo, na kuongeza chanzo kingine Cha kipato.

Hii ni njia ya kuondokana na mzunguko wa Kipato kidogo.

Wakati wako wa kuianza safari ya Mabadiliko ni sasa.

Ni Hapa 👉 https://wa.link/7xpijv

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv